Kiasi kikubwa ulichowahi kuhonga/kuhongwa ni shillingi ngapi?

Kiasi kikubwa ulichowahi kuhonga/kuhongwa ni shillingi ngapi?

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Kiasi kikubwa ulichowahi kuhonga ni shillingi ngapi?

Mimi nilihonga 20000 Tshs na roho ikaniuma sana
 
Alteza T437 ... tukiibadili kwa pesa kipindi kile ilikuwa million 11,ee Kikwete tunakukumbuka baba kipindi hiki mtu akikutoa dinner ugali maini jf nzima itajua.
 
Dreka baby we are talking about monetary issues Tshs,usd Euros. Love ni kitu cha thamani sana ila hatuwezi kukipima kwenye pesa,mleta mada anaongelea pesa.
 
Back
Top Bottom