Kiasi tulichokopa kama taifa Machi - Desemba 2021 ni 1.3tril au 6tril au 10tril?

Kiasi tulichokopa kama taifa Machi - Desemba 2021 ni 1.3tril au 6tril au 10tril?

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,252
Wiki hii baada ya speech ya Spika naona makada wa CCM,TUndu Lisu pamoja na James Mbatia nao walitoa yao ya moyoni.

1. Makada wa CCM wanasema mama amekopa just 1.3tril ivyo bado tunakopesheka wapo walioenda mbali na kuweka % ya viwango inchi mbali mbali duniani zinavyokopa.

2. Tundu LIssu anasema inchi imekopa so far 6tril

3. Mbatia yeye anasema so far tumekopa 10 tril

Nadhani ifike mahala kuwe na uwazi kujua hasa tulichokopa toka March mpaka DEc 2021 maana walipaji wa ilo deni ni mimi na wewe.
Nawakilisha
 
Hii ya sasa hivi kakopa 3bn dollars ambayo ni arond 8 trillion shs, baadhi kaipeleka kwenye madawati na madarasa, nyingine itaenda Zenj. Mkopo wa covid kakopa shs. trillion 2. Jumla ngspi? Acha mikopo mingine
 
sasa kama just 9 month tayari 10 tril si hatari iyo sasa miaka mitano inaweza fika 50tril.
Sipingi kukopa ila shida unakopa kufanyia nini?
 
Ukimuuliza mama Samia akwambie ameshakopa kiasi gani ndio utashangaa, huenda akataja figure ya ajabu ajabu au akasema hata yeye hajui bali anasikia sikia tu amekopa kiasi fulani hivyo wahusika serikalini waulizwe!!

Yule mama tumeshamjua na sasa tumeanza kumzoea kama bibi yetu.
 
Hahaaaa, aisee, huyu tumepigwa pakubwa
 
Yote haya wakulaumiwa ni sisi wenyewe tunaleta utani na tumeamua kukiachia kikundi kidogo kiimalize kila kitu, kimefanikiwa kutugawa kiasi kwamba anatokea mtu anasema ukweli tena kwa jambo lamsingi ataoga matusi, nape nauye alisema wakambeza ndugai kasema anaoga matusi tatizo hatujadili hoja za mtu ila tunaangalia kasema nani, nahili ndo ccm wametuweza sana vijana wasasa hatuna uchungu na hii nchi ,ni ushabiki tu hata kwenye hoja ya msingi
 
Attachments

  • WA-VID-20210421-39f44358.mp4
    1.2 MB
[emoji116][emoji116]
JamiiForums92554090.jpg

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ukimuuliza mama Samia akwambie ameshakopa kiasi gani ndio utashangaa, huenda akataja figure ya ajabu ajabu au akasema hata yeye hajui bali anasikia sikia tu amekopa kiasi fulani hivyo wahusika serikalini waulizwe!!

Yule mama tumeshamjua na sasa tumeanza kumzoea kama bibi yetu.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom