sasa kama just 9 month tayari 10 tril si hatari iyo sasa miaka mitano inaweza fika 50tril.Hii ya sasa hivi kakopa 3bn dollars ambayo ni arond 8 trillion shs, baadhi kaipeleka kwenye madawati na madarasa, nyingine itaenda Zenj. Mkopo wa covid kakopa shs. trillion 2. Jumla ngspi? Acha mikopo mingine
Ndio maana watu wanaomponda Ndugai nawashangaa sana, jamani, tutakuja kupigwa mnada!! Mkopo wenyewe wanaenda kuutupa Zenjsasa kama just 9 month tayari 10 tril si hatari iyo sasa miaka mitano inaweza fika 50tril.
Sipingi kukopa ila shida unakopa kufanyia nini?
Hahaaaa, aisee, huyu tumepigwa pakubwaUkimuuliza mama Samia akwambie ameshakopa kiasi gani ndio utashangaa, huenda akataja figure ya ajabu ajabu au akasema hata yeye hajui bali anasikia sikia tu amekopa kiasi fulani hivyo wahusika serikalini waulizwe!!
Yule mama tumeshamjua na sasa tumeanza kumzoea kama bibi yetu.
Ambae tulipigwa ni huyo kwenye dp yako. Yaan hata sitaki kuona picha yake.Hahaaaa, aisee, huyu tumepigwa pakubwa
Tutapigwa mnada kabisa, kama alivyosema NdugaiAll in all , tukiendelea kuichekea CCM tutavuna mabua siku si nyingi.
Tena tulipigwa pakubwaAmbae tulipigwa ni huyo kwenye dp yako. Yaan hata sitaki kuona picha yake.
Eee bhana eeee !!Hii ya sasa hivi kakopa 3bn dollars ambayo ni arond 8 trillion shs, baadhi kaipeleka kwenye madawati na madarasa, nyingine itaenda Zenj. Mkopo wa covid kakopa shs. trillion 2. Jumla ngspi? Acha mikopo mingine
[emoji38][emoji38][emoji38]Ukimuuliza mama Samia akwambie ameshakopa kiasi gani ndio utashangaa, huenda akataja figure ya ajabu ajabu au akasema hata yeye hajui bali anasikia sikia tu amekopa kiasi fulani hivyo wahusika serikalini waulizwe!!
Yule mama tumeshamjua na sasa tumeanza kumzoea kama bibi yetu.
Unachukua uvccm unawafanya Tiss unategemea nini ?Hapa ndio utajua tuna TISS [emoji2731] au tsetse fly au the so called State People "The State".