Kiasi tulichokopa kama taifa Machi - Desemba 2021 ni 1.3tril au 6tril au 10tril?

Ni til.10,hakuna kilichofichwa figures hizi hapaπŸ‘‡









 
[emoji116][emoji116]View attachment 2066537

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ukitumia hii chati huwezi pata figures kamili kwa sababu hapo kuna mikopo mipya na Riba za mikopo ya zamani,hapa utapata tuu tatal loan ila huwezi jua specific ni loan kiasi gani imekopwa.

Kwanza sielewi watu wanabishana nini hasa kwa sababu serikali ilipanga Kukopa kama inavyoonekana hapa chini

 
Kama mwaka mmoja tayari keshakopa 10 trilion, miaka 10 zitakuwa 100 trilion.

Sina shida na kukopeshwa 100 trilion, shida ni kuwa zinaenda fanya nini?

Kukopa kujenga madarasa is the blundest idea ever from a ruler.

Hii mikopo ingepelekwa kwenye reli, train zikafika hadi Kongo kabisa, mkopo ungeenda kwenye zana za kilimo, mbona miaka 3 tu tungekuwa mbali, hata hizo trillion zingelipika fasta.

Unajenga madarasa hauna ajira hiyo mikopo utalipa vipi?
 
Kakwambia nani kwamba unakopa tuu kujiskia au kwamba Kukopa ni kanunu kwamba kama umekopa 10 t year x na year y utakopa the same amount?

Harafu hukopi tuu bila kulipa ,kama unadhani ni rahisi nenda sehemu yoyote wanakokopesha pesa ukakope tuone kama utapa kama hukopesheki..

Tunatakiwa Kukopa angalau tuwe na til100 hivi by 2025 tuweze kukamilisha miradi kwa wakati.

Hicho kiasi pengine ndio tunaweza karibia ukomo wa kukopesha.

Kwa kuongezea tuu uchumi wa Nchi unakua kwa hiyo Kukopa hakuna mwisho na itakuwa hivyo so long as tunawekeza kwenye miundombinu na kuendelea ujuzi kwa watu.

Mwisho just go your info Nyerere alikopa akawa anatoa ruzuku kwa maviwanda yasiyo na tija,pesa nyingine anapeleka kurisha wanajeshi wetu wanaopigana kwenye nchi za watu with zero returns.
 
Sio mwaka mmoja, ni miezi 9 tu. Na kweli shida ni zinaenda kufanya nini? Huwezi kukopa pesa halafu unapeleka kwenye uwekezaji ambao hauna direct repayment plan, hivi hizi tutazilipaje kwa kujenga madarasawakati ajira zenyewe hakuna?! Ila pia inawezekana haya ndio masharti ya mkopo, masharti ya ajabu!
 
Wewe ni mjinga wa mwisho,kwamba kila mkopo lazima uwe na return to investment au? Unadhani kuendesha Nchi ni sawa na kuendesha kampuni ya biashara au Saccos ya huko Chadomo? πŸ˜†πŸ˜†.

Za Nyerere alizopelekea wanajeshi nchi za watu ulizilipaje? 😁😁😁😁.
 
Pigeni tantarira lakini mwisho wake mtaelewa tu...
Alizokopa Magufuli zilitumika ipasavyo.?
Tuanzie hapo.
Kama kuna mchezo ulifanyika then Mama atakopa pesa nyingi kuliko wrote waliotangulia.
Nape once said mikopo ya awamu iliyopita ikajadiliwe Bungeni,je litafanyika hilo...??
Do not under rate side ya Mama,pia wao wanajuwa what happened na nini kinaendelea.
Kunyweni motoring nyama zipo China.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…