The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,516 Reaction score 14,186 Jan 4, 2022 #41 Njowepo said: Maana kama 10 kwa miezi tisa then mpaka 2025 si hatari Click to expand... Hatari ipi? Kwani deni halilipwi? Kwani ni lazima Kukopa kiasi sawa kila mwaka?
Njowepo said: Maana kama 10 kwa miezi tisa then mpaka 2025 si hatari Click to expand... Hatari ipi? Kwani deni halilipwi? Kwani ni lazima Kukopa kiasi sawa kila mwaka?
Deeboyfrexh JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 3,422 Reaction score 5,597 Jan 4, 2022 #42 Taifa kama kuna kipindi linaingiza hela nyingi ni awamu hii ila tokana na usimamizi mbovu hela nyingi zitaishia mifukoni mwa wajanja kwa kutumia paperworks tu ambazo utekelezaji wake haupo😅
Taifa kama kuna kipindi linaingiza hela nyingi ni awamu hii ila tokana na usimamizi mbovu hela nyingi zitaishia mifukoni mwa wajanja kwa kutumia paperworks tu ambazo utekelezaji wake haupo😅