Kiasili wanaume wamepambwa kuliko wanawake?

Kama ni wanyama kweli ni tofauti kabisa na binadamu


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Sawa tausi karembwa sawa...wanaume binadamu amerembwa nini? ...tuanzie hapo kwanza
Ndevu, mustachi, sharubu na garden love. Ni mapambo hayo, si umeona jamaa hapo juu.
 
una feli mkuu ni wangapi humu wanaijua hiyo lugha
Nisamehe mkuu. Wapo wachache wanaoelewa. But naamini sasa kwa vile nimefafanua hapo, wengi zaidi watakuwa wameelewa sasa.

Naomba buku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…