Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kama ni wanyama kweli ni tofauti kabisa na binadamu
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nini kutishana usiku mkuu?
wanaume Haoooooo! M Hb......Ni nini kutishana usiku mkuu?
Hapana aiseewanaume Haoooooo! M Hb......
wanaume Haoooooo! M Hb......Ni nini kutishana usiku mkuu?
Mmh ina maana jiwe nae yumo kati waliopambwa.
ndio nini sasa?Laqad ghalakna l'insaana fiy ahsani takwiiin! Thumma radad naahu asfala saa filiyn!
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno ya Mwenyezi Mungu hayo anajisifia kwamba hakika amemuumba mwanadamu (me/ke) katika umbile linalopendeza/vutia.ndio nini sasa?
una feli mkuu ni wangapi humu wanaijua hiyo lughaManeno ya Mwenyezi Mungu hayo anajisifia kwamba hakika amemuumba mwanadamu (me/ke) katika umbile linalopendeza/vutia.
Nisamehe mkuu. Wapo wachache wanaoelewa. But naamini sasa kwa vile nimefafanua hapo, wengi zaidi watakuwa wameelewa sasa.una feli mkuu ni wangapi humu wanaijua hiyo lugha
Ana kichwa kama Jiwe wetu
mwe we mwana buku la niniNisamehe mkuu. Wapo wachache wanaoelewa. But naamini sasa kwa vile nimefafanua hapo, wengi zaidi watakuwa wameelewa sasa.
Naomba buku!
[emoji23][emoji23][emoji23]mwe we mwana buku la nini
La Pepsi!mwe we mwana buku la nini
ningerusha ila usije ukawa chuma ulete ukasaula account yangu yoteLa Pepsi!