Mbona hakifanani na kile? Hata kama mnataka kumtetea mtu kuna mengine muyaache tu ni aibu hizi. Si kila kitu cha kujiteteaBei siyo ya kitoto View attachment 2646995
Mbona kina shepi kama ya Toyota IST 😂😂Bei siyo ya kitoto View attachment 2646995
Ushoga unaanza hivi hivi,yaani mtoto wa kiume unapinda mgongo kuazisha uzi kusifia mavazi ya mwanaume mwenzio.Baada ya kuona ndugu zetu wanalunyasi ( mabingwa wa kombe la robo fainali [emoji23][emoji23] kuishiwa uchambuzi na kuanza kuchambua Hadi viatu vya Diarra .....alivyokuwa WASAFI studio kupokea zawadi Toka Kwa legendary wa bongo fleva hapa Africa
Nimeona niwaletee thamani ya kiatu chake
Unaambiwa ni kiatu ghali sana ambacho hutumika na Wana fashion maarufu sana Duniani
Gharama yake unaweza sajili kina Chama watatu, Phil na mzungu dejani .....pia kuwapa shahara Kwa mwaka 1...View attachment 2646981
Upinde unaanza hivi hivi msubirieni tu mleta uzi ataanza kutuwekea price tag yake binafsi.Mmebakia kujitafutia faraja mpk kwenye viatu...