Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Baada ya kuona ndugu zetu wanalunyasi ( mabingwa wa kombe la robo fainali [emoji23][emoji23] kuishiwa uchambuzi na kuanza kuchambua Hadi viatu vya Diarra .....alivyokuwa WASAFI studio kupokea zawadi Toka Kwa legendary wa bongo fleva hapa Africa
Nimeona niwaletee thamani ya kiatu chake
Unaambiwa ni kiatu ghali sana ambacho hutumika na Wana fashion maarufu sana Duniani
Gharama yake unaweza sajili kina Chama watatu, Phil na mzungu dejani .....pia kuwapa shahara Kwa mwaka 1...