Kiatu alichovaa Diarra Bei yake unasajili kina Chama 3

Ashura cheupe alisema wenye akili ni wawili tuu pale utopolokwinyo [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Yaaah mkuu....sambamba na rage......alisema sisi mashabiki wa Simba ni Mbu mbu mbu mbu mbu [emoji23]
 
Ushoga unaanza hivi hivi,yaani mtoto wa kiume unapinda mgongo kuazisha uzi kusifia mavazi ya mwanaume mwenzio.
Nliona nitoe ufafanuzi ....Baada ya kolo mwenzenu kulalamikiia menejiment ya Yanga kuhusu kiatu
 



Maskini mna shida sana, kweli mnajadili thaman ya mavazi ya mtu? Kwani hizo sandal za diamond aliyetoa 10m ni bei gani?
 
Mbona hakifanani na kile? Hata kama mnataka kumtetea mtu kuna mengine muyaache tu ni aibu hizi. Si kila kitu cha kujitetea
Huu nao ni utahira hivi wewe unaweza kuvaa kiatu anachovaa Diara?, Punguzeni mihemko ya kitoto. 😅
 
Mzee wala usingehangaika kuyajibu haya MAPUMBAVU MAKUBWA MAKOLOO!HAYAJIELEWI HAYOOO USIUMIZE KICHWA CHAKO!
 
Tate Mkuu kwa mada kama hizi, unategemea maccm yataacha ufisadi? Vijana muda wote tupo kwenye mijadala ya hovyo namna hii
Hizi ndiyo mada ambazo maccm yanapenda vijana wajadili.

Huwa hawataki kabisa kuona vijana wa nchi hii wanahoji kuhusu yale mambo ya msingi, na yahusuyo mustakabari wa Taifa letu.
 
Huu nao ni utahira hivi wewe unaweza kuvaa kiatu anachovaa Diara?, Punguzeni mihemko ya kitoto. [emoji28]
Tahira tayari umeshajitokeza, nazungumzia kumtetea na kuonesha kiatu kipya kufananisha na hicho itafanya watu waamini kweli kavaa bei chee ndiyo maana mnatumia nguvu nyingi. Tena nimmemwambia mengine ya si kutetea ni kuacha tu, ili isitoe fikra hizo. Ila kwakuwa una akili za kuvukia barabara tu, ukakimbilia kutoa pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…