Mkuu.....hii nchi bila ya CCM sizani kama ungeendelea kuinjoy life .............as u do nowTate Mkuu kwa mada kama hizi, unategemea maccm yataacha ufisadi? Vijana muda wote tupo kwenye mijadala ya hovyo namna hii
La kuchumpa 😂Mpiga picha alikichukua vibaya,kimeonekana Kama buti ambalo halijapigwa kiwi
Bei yake ....unajengea nyumba ukoo wako wote
Wewe ni mpumbavu nambari one.. Nenda ukaolewe na Diarra uwe una safisha hicho kiatu. SwainiBaada ya kuona ndugu zetu wanalunyasi ( mabingwa wa kombe la robo fainali [emoji23][emoji23] kuishiwa uchambuzi na kuanza kuchambua Hadi viatu vya Diarra .....alivyokuwa WASAFI studio kupokea zawadi Toka Kwa legendary wa bongo fleva hapa Africa
Nimeona niwaletee thamani ya kiatu chake
Unaambiwa ni kiatu ghali sana ambacho hutumika na Wana fashion maarufu sana Duniani
Gharama yake unaweza sajili kina Chama watatu, Phil na mzungu dejani .....pia kuwapa shahara Kwa mwaka 1...View attachment 2646981
Shauri yako mwenyewe wenzako wanaanza hivi hivi,kinachofuata utasifia na boxer yake kisha utamalizia kusifia maumbile yaliyomo kwenye boxer
Wewe taahira kweli. Umaskini wako hadi kichwani, hujui gharama za kusoma unadhani ni laki tano .. SwainiBei ya kiatu ......inasomesha ukoo wako wote
Pumbavu zako. Hujui hata thamani ya kiwanja mjini. Unazungumzia kiduku chenu?Bei yake ....unajengea nyumba ukoo wako wote
Huyo mbwiga anaishi kwa dadake shemeji yake akitoa chanjo kwa dadake asubuhi ananunaPumbavu zako. Hujui hata thamani ya kiwanja mjini. Unazungumzia kiduku chenu?
Uongo siyo kitu kizuri. Hivi viatu ni kwa ajili ya mafundi ujenzi. Na kwenye site za wachina, nafundi wanapewa buuureBaada ya kuona ndugu zetu wanalunyasi ( mabingwa wa kombe la robo fainali [emoji23][emoji23] kuishiwa uchambuzi na kuanza kuchambua Hadi viatu vya Diarra .....alivyokuwa WASAFI studio kupokea zawadi Toka Kwa legendary wa bongo fleva hapa Africa
Nimeona niwaletee thamani ya kiatu chake
Unaambiwa ni kiatu ghali sana ambacho hutumika na Wana fashion maarufu sana Duniani
Gharama yake unaweza sajili kina Chama watatu, Phil na mzungu dejani .....pia kuwapa shahara Kwa mwaka 1...View attachment 2646981
Hakuna kiatu cha bei ya kumsajili Chama Tanzania hii acheni ujinga. Ushabiki maandazi usiwafanye mdhalilishe watu.Baada ya kuona ndugu zetu wanalunyasi ( mabingwa wa kombe la robo fainali [emoji23][emoji23] kuishiwa uchambuzi na kuanza kuchambua Hadi viatu vya Diarra .....alivyokuwa WASAFI studio kupokea zawadi Toka Kwa legendary wa bongo fleva hapa Africa
Nimeona niwaletee thamani ya kiatu chake
Unaambiwa ni kiatu ghali sana ambacho hutumika na Wana fashion maarufu sana Duniani
Gharama yake unaweza sajili kina Chama watatu, Phil na mzungu dejani .....pia kuwapa shahara Kwa mwaka 1...View attachment 2646981
Mshahara wa Ahmed ally pale ukoloni
Makolo ni mbumbumbu og huwa hawaelewi kitu. Hiyo kiatu ni kwa ajili ya mafundi ujenzi. Niamini, mimi ni uto fc mwenzenuMakolo wenzako ....wameelewa