Kiatu alichovaa Diarra Bei yake unasajili kina Chama 3

Tate Mkuu kwa mada kama hizi, unategemea maccm yataacha ufisadi? Vijana muda wote tupo kwenye mijadala ya hovyo namna hii
Mkuu.....hii nchi bila ya CCM sizani kama ungeendelea kuinjoy life .............as u do now

bila ya CCM Maendeleo yasingekuwepo ..... imagine mbowe ni mwenyekiti Toka nimezaliwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baada ya kuona ndugu zetu wanalunyasi ( mabingwa wa kombe la robo fainali [emoji23][emoji23] kuishiwa uchambuzi na kuanza kuchambua Hadi viatu vya Diarra .....alivyokuwa WASAFI studio kupokea zawadi Toka Kwa legendary wa bongo fleva hapa Africa

Nimeona niwaletee thamani ya kiatu chake

Unaambiwa ni kiatu ghali sana ambacho hutumika na Wana fashion maarufu sana Duniani

Gharama yake unaweza sajili kina Chama watatu, Phil na mzungu dejani .....pia kuwapa shahara Kwa mwaka 1...View attachment 2646981
Wewe ni mpumbavu nambari one.. Nenda ukaolewe na Diarra uwe una safisha hicho kiatu. Swaini
 
Baada ya kuona ndugu zetu wanalunyasi ( mabingwa wa kombe la robo fainali [emoji23][emoji23] kuishiwa uchambuzi na kuanza kuchambua Hadi viatu vya Diarra .....alivyokuwa WASAFI studio kupokea zawadi Toka Kwa legendary wa bongo fleva hapa Africa

Nimeona niwaletee thamani ya kiatu chake

Unaambiwa ni kiatu ghali sana ambacho hutumika na Wana fashion maarufu sana Duniani

Gharama yake unaweza sajili kina Chama watatu, Phil na mzungu dejani .....pia kuwapa shahara Kwa mwaka 1...View attachment 2646981
Uongo siyo kitu kizuri. Hivi viatu ni kwa ajili ya mafundi ujenzi. Na kwenye site za wachina, nafundi wanapewa buuure
 
Baada ya kuona ndugu zetu wanalunyasi ( mabingwa wa kombe la robo fainali [emoji23][emoji23] kuishiwa uchambuzi na kuanza kuchambua Hadi viatu vya Diarra .....alivyokuwa WASAFI studio kupokea zawadi Toka Kwa legendary wa bongo fleva hapa Africa

Nimeona niwaletee thamani ya kiatu chake

Unaambiwa ni kiatu ghali sana ambacho hutumika na Wana fashion maarufu sana Duniani

Gharama yake unaweza sajili kina Chama watatu, Phil na mzungu dejani .....pia kuwapa shahara Kwa mwaka 1...View attachment 2646981
Hakuna kiatu cha bei ya kumsajili Chama Tanzania hii acheni ujinga. Ushabiki maandazi usiwafanye mdhalilishe watu.
 
Thubutu kufananisha hapa
Fx4v_gEWcAERoot.jpeg.jpg
 
Back
Top Bottom