Kiatu alichovaa Diarra Bei yake unasajili kina Chama 3

Kiatu alichovaa Diarra Bei yake unasajili kina Chama 3

Mmebakia kujitafutia faraja mpk kwenye viatu...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baada ya kuona ndugu zetu wanalunyasi ( mabingwa wa kombe la robo fainali [emoji23][emoji23] kuishiwa uchambuzi na kuanza kuchambua Hadi viatu vya Diarra .....alivyokuwa WASAFI studio kupokea zawadi Toka Kwa legendary wa bongo fleva hapa Africa

Nimeona niwaletee thamani ya kiatu chake

Unaambiwa ni kiatu ghali sana ambacho hutumika na Wana fashion maarufu sana Duniani

Gharama yake unaweza sajili kina Chama watatu, Phil na mzungu dejani .....pia kuwapa shahara Kwa mwaka 1...View attachment 2646981
Wanamitindo huwa kikabwilikabwili, Hata hivyo hata kiwi.
 
Maskini mna shida sana, kweli mnajadili thaman ya mavazi ya mtu? Kwani hizo sandal za diamond aliyetoa 10m ni bei gani?
Sasa kama makolo yana bisha .....tushindwe kuwafundisha???[emoji23]
 
Shauri yako mwenyewe wenzako wanaanza hivi hivi,kinachofuata utasifia na boxer yake kisha utamalizia kusifia maumbile yaliyomo kwenye boxer
MBU MBU MBU.......wekeni mawazo ya kufika final
 
Mzee wala usingehangaika kuyajibu haya MAPUMBAVU MAKUBWA MAKOLOO!HAYAJIELEWI HAYOOO USIUMIZE KICHWA CHAKO!
Makolo ni ndugu zetu mkuu.....acha tuwaelimishe kidg
 
Back
Top Bottom