Kiatu cha Mwakinyo Hakikuwa na shida yoyote

Hivi mandonga si ndio alitambulishwa utopolo ambao simulizi zene zinaendana
 

Mwongo yule , anajitia kiatu. Tatizo sio kupigwa kwake, tatizo ni yeye kujaribu kudanganya Umma. Amepigwaa na ni sehemu ya mchezo and kama gentleman ange admit kuwa hajui kilichotokea amejikuta tu anaishiwa nguvu kwa haraka and he could not help. Yaani hapo tungemsoma vema .
 
Eeeeeeeeh... Hapo Sasa! Simba, Mandonga na Mwakinyo, kundi moja la waliofeli!
 
Jana bendera ya Tanzaia iliwaka moto
Taifa star ilifungwa huku mwakinyo akichezea vitasa.
 
mtu amepewa kichapo cha hatari imebidi alete story za kizz daniel.

Mambo ya hovyo. Yeye asipigwe nani. Yaani he thinks he is entitled only to win ....... ni ujinga kuamini hivo.

Mchezo wa ngumi ni mchezo wa technic sio kurusha rusha ngumi kama mandonga mtu kazi. Mzungu alikuwa ana press na anagusa uso wa HASSAN . Yeye Mwakinyo zinaishia hewani. Hata ile moment before hajasujudu na kuomba msamaha, alipiga ngumi mbili nzito kweli na zote ziliishia hewani, ndio akaenda down .

Mimi nasema anaweza but ajifunze zaidi na awe positive , asiwe MWONGO MWONGO

Hajauza pambano, hajafanyiwa fitna bali uwezo wake uliishia pale and that is very okay as part of growth and learning. Sasa akiwa mzushi atashindwa kujifunza ..... we are here to remind him that and not to condemn him kama wengi wanavyodhani
 
Kanichania mkeka mkuu
 
SSC, Mandonga na Mwakinyo wote hawa akili zao ni sawa, na ni aibu kuwa na jamii hii kwenye Nchi.....

AHSANTE SANA MTOA MADA
 
Wabongo kwa ujuaji mwakinyo ameanza kupigana na alikuwa ana shinda sio nchi wala mashabiki walio kuwa wanampa support kapambana mwenyewe sasa hivi kashakuwa star ndo kila mtu anajifanya anajua ngumu na kutoa ushauri yeye mwenyewe anajua anachofanya kila mtu ashinde mechi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…