Kwangu mimi HASSAN alipigwa fairly kabisa, hakuuza mechi na wala hakukuwa na makando kando yoyote. Shida kubwa ni Watizedi hatuna maturity kwenye michezo with descipline.
1. HASSAN alikuwa anapigana na hewa zaidi kuliko kumlenga muhusika, ngumi zake hazikuwa na madhara yoyote japo alitaka kulazimisha kuonekana ana madhara.
Katika ngumi tano anazorusha, nne zote zilikuwa ni hewa..... hakuwa na focus yoyote wala hakuwa na technic yoyote .... kifupi uwezo wa Hassan ni bado sana, sio kila kitu tuweke uzawa mbele , tunatakiwa kuwa wakweli.
2. Ngumi nyingi Yaani frequency alizokuwa anarusha mzungu zilikuwa zikimpata HASSAN tena usoni, only mzungu hakuwa na ngumi nzito , but he was tactically and alikuwaa anasubiri right moment kumaliza mchezo.
3 . HASSAN hakuwaa anafanya pressing yoyote; alikuwaa ana pressiwa and he was defending himself mpaka anafikishwa kwa kamba , anaanza kumsukuma mzungu, hiyo pressing ya Mzungu, technically ndiyo iliyoaanza kumletea shida Hassan na akapoteza balance, frequency za yeye kufikishwa kwa kamba zilikuwa nyingi ; ni raundi ya 3 kama sikosei ndio alifanya pressing kidogo and he breached the law , alimpiga Mzungu kichwani wakati kengele was on and mzungu was complaining, what the Fu**k you hell: utaona mzungu anatukana.
4. Kuhusu kiatu, Big no na hakuna uhusiano at all ; huyu jamaa sio professional at all, ni anaunga unga, i wonder kama management yake ili jadili hii reason ya kiatu na begi kabla ya kuja kwenye public , ni shame such a fighter to complain such a thing , Shame kwake na uongozi wake .
Hassan alikuwa anatumia nguvu sana kurusha ngumi , na ngumi zake nyingi zilikuwa zinaenda kwa air, with pressing alizokuwa anapewa mara kwa mara akapoteza balance na akawa anachoka sana , ALICHOKA SANA, the only way kuondokana na aibu ambayo ilitawaliwa na ego yake was to pretend something was wrong kwenye kiatu.ni mambo ya hovyo na utoto.
Kupigwa ni kawaida but do not deceive people; kama kawaida yetu watizedi ni watu wa excuses na mdomo mwingi.
5. Kama kweli Ishu ni kiatu( tuki assume), REFA alimuuliza mwanzo kabisa, je hiki kiatu ni tatizo? We can find alternative. Akajibu hapana , na hata menejimenti yake haikuonesha kama kuna shida, REFA akauliza.... can you proceed with this , he said Yes .....;
Sasa I wonder kama HASSAN anajua sheria kweli au akili zake nae ni kama mandonga, the moment anakuja kuonesha kuwa tatizo la kiatu limejirudia, kuna protocol alitakiwa kuzifuata, na sio kutema Mouth guide na kunyoosha hands up huku you kneel down .... that was very unprofessional na refa hakuwa na choice tena.
kiufupi alisalenda na hakuwa na pumzi... HASSAN alichoka mapema na hii ni kutokana na pressing ya mzungu huku yeye akitumia muda mwingi ku defend na kukwepa. Guys ni inachosha, msione mandonga akiguswa kichwa tu ni anakuwa kama mgonjwa wa kifafa. HASSAN amepigwa kwa kuzidiwa uwezo na maarifa. Hizo sababu zake za standard 7 failure, angezionesha pale kwenye ulingo, maneno yoyote nje ya ulingo ni umbea na unafiki.
Ushauri pekee ni HASSAN aendelee kujifunza , lakini asilete excuses , that is unprofessional and bad. Ni amepigwa kipigo cha akili, asilete mambo ya SSC, tulitawala mpira sana , lakini hatukushinda...... ni excuses za hovyo, mpira ni magoli na sio kutawala.... kinachokuvusha ni magoli na sio possessive.
SSC, mandonga na Mwakinyo wote hawa akili zao ni sawa, na ni aibu kuwa na jamii hii kwenye nchi.