Kiatu cha Wazuri Ummy Mwalimu

Kiatu cha Wazuri Ummy Mwalimu

The Saver

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
202
Reaction score
651
1586155765607.png
1586155811574.png

Kusema kweli Ummy Mwalimu Nakupongeza kwa kazi unayofanya unachakalika mpaka kiatu kinachakaa

Hili kiatu sio cha mtu kama wewe wazuri kiatu kimechakaa na vumbi juu sasa kama na wewe umechakaa je watembeza bahasha itakuwaje

Samahani kwa hii thread
 
Huyo aliyesimama nyuma ya Makonda amevaa miwani, sio yule aliyemtolea bastora Nape Nauye baada ya kuondolewa kuwa waziri? Kumbe ni mlinzi wa Bashite!!!
 
Huyo aliyesimama nyuma ya Makonda amevaa miwani, sio yule aliyemtolea bastora Nape Nauye baada ya kuondolewa kuwa waziri? Kumbe ni mlinzi wa Bashite!!!
Unamzunguzia herry kisanduku?
 
Kiatu cha kazi hicho, kuna watu wakifika sehemu flani wanabadirisha viatu ili kuendana na shughuri husika alafu akitoka anatupia kiatu kizuri.
 
Back
Top Bottom