Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The world is moving too fast...Mambo ni mengi na muda ni mchache
Wanaume wote wamesimama kiume kasoro ummy
It is never to late to begin. Start now
Acha umbea unataka watu wasifanye kazi....Unajua hapo alikuwa katoka wap?? fanya kazi kijana Make money maisha ya watu hayakuhusu[emoji57] [emoji57]View attachment 1410138View attachment 1410140
Kusema kweli Ummy Mwalimu Nakupongeza kwa kazi unayofanya unachakalika mpaka kiatu kinachakaa
Hili kiatu sio cha mtu kama wewe wazuri kiatu kimechakaa na vumbi juu sasa kama na wewe umechakaa je watembeza bahasha itakuwaje
Samahani kwa hii thread
Acha umbea unataka watu wasifanye kazi....Unajua hapo alikuwa katoka wap?? fanya kazi kijana Make money maisha ya watu hayakuhusu[emoji57] [emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana nakataaHuyo aliyesimama nyuma ya Makonda amevaa miwani, sio yule aliyemtolea bastora Nape Nauye baada ya kuondolewa kuwa waziri? Kumbe ni mlinzi wa Bashite!!!
Unauliza alafu unahitisha mwenyewe. Mibavicha bhanaHuyo aliyesimama nyuma ya Makonda amevaa miwani, sio yule aliyemtolea bastora Nape Nauye baada ya kuondolewa kuwa waziri? Kumbe ni mlinzi wa Bashite!!!
HapanaHuyo aliyesimama nyuma ya Makonda amevaa miwani, sio yule aliyemtolea bastora Nape Nauye baada ya kuondolewa kuwa waziri? Kumbe ni mlinzi wa Bashite!!!