Kiatu cha Wazuri Ummy Mwalimu

Kiatu cha Wazuri Ummy Mwalimu

Hebu achana na kiatu cha Waziri Ummy, Mimi shingo yake tu Hoi. Hizi ndio zile zinaitwa shingo ya upanga! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
 
Mimi nimeona tu hilo t-shirt la makonda hivi bado analivaa maana lina bendera ya nchi flani ambayo ilitoa katazo flani kwa baadhi ya viongozi ku tembelea hiyo nchi
 
View attachment 1410138View attachment 1410140

Kusema kweli Ummy Mwalimu Nakupongeza kwa kazi unayofanya unachakalika mpaka kiatu kinachakaa


Hili kiatu sio cha mtu kama wewe wazuri kiatu kimechakaa na vumbi juu sasa kama na wewe umechakaa je watembeza bahasha itakuwaje


Samahani kwa hii thread
Acha umbea unataka watu wasifanye kazi....Unajua hapo alikuwa katoka wap?? fanya kazi kijana Make money maisha ya watu hayakuhusu[emoji57] [emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dahh... Wanaume ni laana.

Mheshimuni Waziri.
 
Huyo aliyesimama nyuma ya Makonda amevaa miwani, sio yule aliyemtolea bastora Nape Nauye baada ya kuondolewa kuwa waziri? Kumbe ni mlinzi wa Bashite!!!
Unauliza alafu unahitisha mwenyewe. Mibavicha bhana
 
Sema usisituke saaaana, mwanasiasa ndio Mwanadamu pekee anayeweza kumwagilia mti maji wakati mvua ikiwa inanyesha.
 
Back
Top Bottom