Kiatu design mpya kwa ajili ya kina dada

Barakaeli174

Senior Member
Joined
Aug 2, 2015
Posts
171
Reaction score
142
Dada zangu hiki kiatu kimetoka kiwandani Ijumaa ya juzi karibuni mniungishe bei ya jumla ni sh 19,500 na rejareja sh 24,000. Namba zilizopo ni 34-40 haipungui karibuni mniungishe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hayaaaa hiki kinawafaaaa
 
Hmmm! Ukimtokea demu kwenye giza usiku, alafu uangalie chini umkute kavaa ivyo viatu unazimia, utajua nimetongoza jini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Walio wasiopenda wasipitwe na kitu hicho kinawafaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…