Habari ndugu watanashati
Leo ninaomba mnisaidie kubaini rangi ya kiatu hiki pichani(Tazama kiambatisho). Mafundi(baadhi) wapaka rangi wetu wababaishaji,wanaweza kukupakia zinazofanana na kuharibu kiatu.
TAHADHARI
Wengi tunaweza kutaja brown,lakini brown zipo nyingi,hii ni ipi?
Aidha, ninaomba kufahamishwa kwa Dar es Salaam wapi ninaweza kupata rangi za viatu OG maana kwa sasa ni majanga. Ukikurupuka viatu vinaharibika.
Mungu awajaalie muendelee kuwa smartView attachment 1205059
weka kiatu chote tukipake rangi acha ubabe wewee, sasa tutapaka vipi rangi pua ya kiatu pekeakee ??Haikuwa lengo langu kuonyesha kiatu.Lengo ni kupata rangi,jibu swali.
Hahaha! Umenichekesha sana! Wewe utakuwa kwenye kundi la wale wavaa vitu vya kimachinga.Hujui hata kiatu halisi ni kipi.
Mpelekee dogo wa mlimani city kwenye lango la kuingilia pale anaijua kazi hadi anakera View attachment 1205447
Dark tan, light brown
[/QUOTE
Asante sana. Na hapo ndipo ninapochoka na hizo brown, zipo nyingi kiasi ninachanganyikiwa. Ukiacha Dark tan na light brown, kuna tarn yenyewe ,brown na mid brown. Ninahisi mid brown ndo hiyo Light brown.Kibaya zaidi kwa mimi color blind tofauti ni ndogo sana hasa katika hizo zinaishia na brown.
Asante sana,nitaifanyia kazi
Si awe tunkqma wewe kwenye avata yako anaohopa kudukuliwa miguuhata picha ya kiatu unaweka nusu ?unaogopa nn sasa ?