Mtafiti77
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 1,877
- 2,314
Habari ndugu watanashati
Leo ninaomba mnisaidie kubaini rangi ya kiatu hiki pichani(Tazama kiambatisho). Mafundi(baadhi) wapaka rangi wetu wababaishaji,wanaweza kukupakia zinazofanana na kuharibu kiatu.
TAHADHARI
Wengi tunaweza kutaja brown,lakini brown zipo nyingi,hii ni ipi?
Aidha, ninaomba kufahamishwa kwa Dar es Salaam wapi ninaweza kupata rangi za viatu OG maana kwa sasa ni majanga. Ukikurupuka viatu vinaharibika.
Mungu awajaalie muendelee kuwa smart