playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Kwa kweli huajeleweka halaf una haraka kuliko kawaida
Jipange uje ueleze vizuri
Mkuu tuliza mtekenyo basi utuletee habari kamili, hayo mambo ya team ndi yanafanya hata mziki wa bongo uishie kigamboni.
Badala ya kutuletea habari jamili za kiba mpaka unuweke na diamond.
leta habari iliyokamilika
mtoa mada umejichanganya....HUO NDIO UKWELI
Anakimbiza vipi...???
Kumbe hizi kitu ni muhimu eti eeh ............. maana mlikuwa mnasema tuzo kitu gani..... leo hii unatokwa na mapovu kwenye tuzo ambazo DIAMOND kwake si kitu saaaana kuliko hata anazozimiliki. Kama haitoshi hizo TUZO hayupo DIAMOND na huyo kiba tu ila wapo kibao na ndio LITAKUWA AJABU LA NYONGEZA KUTOKA AFRICA wasanii kama DAVIDO,WIZKID,DIAMOND WAKOSE APEWE KIBA. Haya kama TUZO ni muhimu kiasi hiko hebu toa heshima kwa huyu jamaa,maana huyo kibakuli kufikia huku hadi atazeeka hafiki na hatofika.
View attachment 363825
Watu wametoka bet huko we bado unaleta hizo dude za sumbawanga, hihihihihi kweli kiba bila ya diamond angekuwa ameshafutika,
Sasa hivi Tuzo imo???bet kachukua eeeh au hata kushiriki ushujaa kizuri wapo kategor tatu woote na domopunda kaachwa mbali balaa ingia google then andika africa nafca voting kablaya kupiga kura angalia kwanza mwendowa mfalme na domo punda..puuuuuuuuuumbav.
Sasa hivi Tuzo imo???
Zamani si za Tuzo zilikua hazimo? Sasa hivi credit za Tuzo zimo?sijakuelewa.