Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzo za wapi izi somalia auNafurahishwa na namna King Kiba anavyowakimbiza katika tuzo zinazoendelea kupigiwa kura za NAFCA.
I used to say always that "KIZURI CHAJIUZA NA MUDA NDO HAKIMU WA KWELI"
Team MOUTH are u there?
Uta-comment nini hapo .... wakati nimekukata maini kwa kielehele chako cha TUZO,wakati kila siku mlikuwa mnaponda kuwa TUZO kitu gani ..... leo unatupigia kelele.umepandisha KISUKARI HADI NAOGOPANKIKUJIBU UTADONDOKA hahahahahahahaaaaaa....comment au barua??
Zamani si za Tuzo zilikua hazimo? Sasa hivi credit za Tuzo zimo?
Nlisikia kiba anawafanyia mchezo mchafu mashabiki zake sasa ndo nimeamin maana sio kwa speed hiio
Wakati mwingine upunguze MIHEMKO kabla ya ku post
Nawashangaa sana watu wanaondekeza mambo ya timu...sijui timu nani. I hate this. Hizi tabia ndio ambazo zinarudisha mziki wetu nyuma. Timu hazitusaidii....hazijengi zaidi ya kuleta uhasama wa kijinga tu. Tusipobadilika basi Diamond ataendelea kuwa mpweke kwenye level za juu....ni aibu sana especially knowing kwamba kuna talents kibao out there lakini haziendelei kwasababu ya majungu na kutaka fulani aporomoke au fulani awe juu badala ya fulani kwasababu ya utimu. Nonsense!! Tuchukulie mfano wa Kiba huyohuyo...the guy namkubali sana kama ninavyomkubali Diamond. Kiba ni very talented singer. Lakini haonekani akifika mbali. He is just struggling. Nani asiyejua kuwa Ali Kiba alishaimba na magwiji kama R. Kelly!! Kiba ndio wa kwanza kutoboa but haijamsaidia kihiivyo. Kwanini?? Sababu ni zilezile. Lack of thinking big!! Haoni na wala haonekani bila kuacha mashaka yoyote kuangalia mambo makubwa zaidi kimuziki....yeye anahangaika na kumpiku Diamond. Hajawahi kukiri hili verbally lkn vitendo na viashiria mbalimbali vinaonyesha hivyo. Najua hii ni ngumu kumesa kwa wale wanatimu. Ila ukweli lazima usemwe.
Watanzania na vitimu timu vyao wasipobadilika basi sisi tutaendelea kumsherehekea (celebrate) Diamond as he makes us proud in the global platform.
punga wa kiba wwkwani kiba na domo wakwanza kutoka kwenye game nani?....hahahahaaaa so kipindi domo anauza vyuma chakavu kiba alikuwa anatamba nabifu yake na bibi yako??....makalio kazi yake kukalia siyo kufikiri kama unavyofanya ww.
unachopenda ww mwiningine hapend anachopenda mwingine ww hupend we human being we differ from one another...we funs we lyk this kind of chitchat ingekuwa hivyo tusingekuwa na ushabiki wa SIMBA na YANGA mzee kuangukaau kuendelea nikutokaqna na kipaji chako na si kusemwana watu sawa mzee THINKBIG....kiba mbele daima.
Teh [emoji3]unajibuje post unayoona ina muhemko??...una mihemko maradufu ndo jibu lake.