Kiba aendelea kukimbiza kwenye tuzo za NAFCA

I'm not saying you're an idiot. Wait, yes I am.
 
Nafurahishwa na namna King Kiba anavyowakimbiza katika tuzo zinazoendelea kupigiwa kura za NAFCA.

I used to say always that "KIZURI CHAJIUZA NA MUDA NDO HAKIMU WA KWELI"
Team MOUTH are u there?
Tuzo za wapi izi somalia au
 
umepandisha KISUKARI HADI NAOGOPANKIKUJIBU UTADONDOKA hahahahahahahaaaaaa....comment au barua??
Uta-comment nini hapo .... wakati nimekukata maini kwa kielehele chako cha TUZO,wakati kila siku mlikuwa mnaponda kuwa TUZO kitu gani ..... leo unatupigia kelele.
 
Nlisikia kiba anawafanyia mchezo mchafu mashabiki zake sasa ndo nimeamin maana sio kwa speed hiio
 

unachopenda ww mwiningine hapend anachopenda mwingine ww hupend we human being we differ from one another...we funs we lyk this kind of chitchat ingekuwa hivyo tusingekuwa na ushabiki wa SIMBA na YANGA mzee kuangukaau kuendelea nikutokaqna na kipaji chako na si kusemwana watu sawa mzee THINKBIG....kiba mbele daima.
 
kwani kiba na domo wakwanza kutoka kwenye game nani?....hahahahaaaa so kipindi domo anauza vyuma chakavu kiba alikuwa anatamba nabifu yake na bibi yako??....makalio kazi yake kukalia siyo kufikiri kama unavyofanya ww.
punga wa kiba ww
 

Sawa playboy....!!
 
Haya Ally kiba tumekusikia ila siku nyingine ukiingia humu usiingie na I'd tofaut au unaona aibu kuomba kura ?
 
Tatizo lako babu k unajianzishia uzi mwenyewe na kujijaza hasira watu wakichangia tofauti. Weka mtu wa kuripoti matukio yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…