Kiba afunguka," Mbosso ndio msanii wangu bora kwa mwaka huu"

Kiba afunguka," Mbosso ndio msanii wangu bora kwa mwaka huu"

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Akiongea na bongo5 msanii Abdul Kiba amesema Mbosso ni moja kati ya wasanii anaowasikiliza sana mwaka huu 2018. Na wimbo anaoupenda zaidi ni Nadekezwa... Kiba aliyasema hayo huku akiimba kwa hisia wimbo wa nadekezwa.
 
Back
Top Bottom