Kiba ampigia debe Diamond

Bora yaishe tuendelee na habari nyingine.
 
Teh teh, wewe ni hovyo sana sijapata kuona
 

We uliyeweza maisha taifa /wazazi wako wanajivunia kwa lipi?
 
Kama anamaanisha kweli anachokisema basi amposti kwenye page yake akimuombea kura,kinyume na hivo ni sawa tu na siku zote anazosemaga kuwa hana bifu na DIAMOND, na hata DIAMOND huwa anasema hivo hivo kuwa hana bifu nae lakini vitendo vyao viko tofauti na kauli zao. ( hakuna aliyewahi kusema anabifu na mwenzake,ila vitendo vyao ndio majibu )
 
Mesikia ndio kiswahili gani? Mnaudhi watu wazima kuongea kama watoto Et mesikia! Unamdekea nani hapa sasa?
Kama mother tongue ina affect mpaka uandishi huyu atakua ni mmasai tu si ndio hata supu wanaita subu.
 
Diamond na Kiba inasemekana wala hawana shida na pia kuna kipindi Diamond alisema hata ofisini kwake ukienda kati ya picha za ukutani ambazo ameweka za watu anaowakubali Kiba yupo na aliomba sana mitandao ya kijamii iache kutunga habari kadhalika Kiba alisema hana ugomvi na Diamond ni mdogo wake maana alimshika mkono na.anafurahi kuona anafanikiwa maana kwake ni faraja.
 

Hawa watu hawapo sawa na sidhani kama watakuja kuwa sawa hivi karibuni.

Hata yakitokea maajabu wao wapatane, bado tatizo litakuwa kwa mashabiki wa Kiba (hasa waliotoka team wema) hawa watu wanamchukia Diamond kutoka damuni, kwahiyo kupatana kwa Kiba na Diamond bado kutakuwa na JIPU lililotuna "Wema sepetu" ... Na sio kama wapo wengi saaaaana ila "MAKELELE YA WACHACHE YANASIKIKA KULIKO UKIMYA WA WENGI" kutokana na matusi matusi n.k
 
Just imagine, WCB wamemtumia Harmonize na Wolper ku-make heading kipindi ambacho Kiba ana-release ngoma yake ya AJE, motive ikiwa kuibana hiyo Ngoma isipate airtime ya kutosha...
 
utu uzima, ukomavu, kujitambua na kujiheshimu ni mambo ambayo alikiba yatamlinda daima kwenye hii sanaa
 
unamuabisha huyo mzee unaetumia kama surname yako
 
Just imagine, WCB wamemtumia Harmonize na Wolper ku-make heading kipindi ambacho Kiba ana-release ngoma yake ya AJE, motive ikiwa kuibana hiyo Ngoma isipate airtime ya kutosha...
hii sidhani kama ina ukweli, tuache kufikiria mambo ya ajabu jamani duh namna hii haya mambo hayataisha
 
Just imagine, WCB wamemtumia Harmonize na Wolper ku-make heading kipindi ambacho Kiba ana-release ngoma yake ya AJE, motive ikiwa kuibana hiyo Ngoma isipate airtime ya kutosha...
Harmonizer n wolper wamenza njujana kitambo pitia post za diamond alikuwa akipiga picha n harmonizer ana mtag wolper n pia kwan skendo nazo zinapigwa n kuombwa redioni km mziki
"If u think small, u will remain small for life"
 
Kiba awezi kukubali kuweka peace na Dangote hii bifu ndio inayoendelea kumuweka mjini. Imagine Ali Kiba bila bifu na Diamond. Hapo alijaribu kuleta unafiki ili aonekane yeye ni muungwana.
 
mr gentleman
Hahahahahaha mkuu umesahau na Gardner na Jide stori za kukojozana ili kuzima aje hahahaha, bila kusahau bet wamehongwa kutangaza nominations siku ya ijumaa huku Diamond akiwemo na kwenye performance list yote hiyo kuizima aje ya King Kiba..

CC. Granta
 
safi sana tushindane kwa akili vitu vya msingi kama hivyo taifa kwanza.

sote hatujui la kesho huenda ikawa zamu ya kiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…