Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh, wewe ni hovyo sana sijapata kuonaKiba hana fanbase kubwa kihivyo kama unavyodhani. In fact, fans wa Kiba ni matokeo ya maadui wa Diamond kama mademu aliowapitia zamani etc. In other words, asilimia kubwa ya fans wa Kiba ni fans wa Wema Sepetu na Jokate. Sasa hao wa kazi gani watu walioshindwa maisha. Huyo Kiba aachane na Diamond aendelee na kulinda tembo.
Kiba hana fanbase kubwa kihivyo kama unavyodhani. In fact, fans wa Kiba ni matokeo ya maadui wa Diamond kama mademu aliowapitia zamani etc. In other words, asilimia kubwa ya fans wa Kiba ni fans wa Wema Sepetu na Jokate. Sasa hao wa kazi gani watu walioshindwa maisha. Huyo Kiba aachane na Diamond aendelee na kulinda tembo.
Kama mother tongue ina affect mpaka uandishi huyu atakua ni mmasai tu si ndio hata supu wanaita subu.Mesikia ndio kiswahili gani? Mnaudhi watu wazima kuongea kama watoto Et mesikia! Unamdekea nani hapa sasa?
Si ajabu ikawa kweli kwani hata Diamond kaposti wakiwa wote Insta, nazungumzia Nature sio Kiba.weka chanzo cha hiyo habari sasa ..
Kama mother tongue ina affect mpaka uandishi huyu atakua ni mmasai tu si ndio hata supu wanaita subu.
Ukiwazoe utajikuta una enjoy tu ana weza kukuambia 'sisi imeona' badala ya 'mimi nimeona'.Ha ha ha. Umenikumbusha masai mmoja hapa huwa anaita basi et mbasi
Diamond na Kiba inasemekana wala hawana shida na pia kuna kipindi Diamond alisema hata ofisini kwake ukienda kati ya picha za ukutani ambazo ameweka za watu anaowakubali Kiba yupo na aliomba sana mitandao ya kijamii iache kutunga habari kadhalika Kiba alisema hana ugomvi na Diamond ni mdogo wake maana alimshika mkono na.anafurahi kuona anafanikiwa maana kwake ni faraja.
Just imagine, WCB wamemtumia Harmonize na Wolper ku-make heading kipindi ambacho Kiba ana-release ngoma yake ya AJE, motive ikiwa kuibana hiyo Ngoma isipate airtime ya kutosha...Hawa watu hawapo sawa na sidhani kama watakuja kuwa sawa hivi karibuni.
Hata yakitokea maajabu wao wapatane, bado tatizo litakuwa kwa mashabiki wa Kiba (hasa waliotoka team wema) hawa watu wanamchukia Diamond kutoka damuni, kwahiyo kupatana kwa Kiba na Diamond bado kutakuwa na JIPU lililotuna "Wema sepetu" ... Na sio kama wapo wengi saaaaana ila "MAKELELE YA WACHACHE YANASIKIKA KULIKO UKIMYA WA WENGI" kutokana na matusi matusi n.k
unamuabisha huyo mzee unaetumia kama surname yakoKiba hana fanbase kubwa kihivyo kama unavyodhani. In fact, fans wa Kiba ni matokeo ya maadui wa Diamond kama mademu aliowapitia zamani etc. In other words, asilimia kubwa ya fans wa Kiba ni fans wa Wema Sepetu na Jokate. Sasa hao wa kazi gani watu walioshindwa maisha. Huyo Kiba aachane na Diamond aendelee na kulinda tembo.
hii sidhani kama ina ukweli, tuache kufikiria mambo ya ajabu jamani duh namna hii haya mambo hayataishaJust imagine, WCB wamemtumia Harmonize na Wolper ku-make heading kipindi ambacho Kiba ana-release ngoma yake ya AJE, motive ikiwa kuibana hiyo Ngoma isipate airtime ya kutosha...
I told yoh..time will tell.
Harmonizer n wolper wamenza njujana kitambo pitia post za diamond alikuwa akipiga picha n harmonizer ana mtag wolper n pia kwan skendo nazo zinapigwa n kuombwa redioni km mzikiJust imagine, WCB wamemtumia Harmonize na Wolper ku-make heading kipindi ambacho Kiba ana-release ngoma yake ya AJE, motive ikiwa kuibana hiyo Ngoma isipate airtime ya kutosha...