Tuanzie hapaKiba ana roho mbaya , roho ya kukunja ndio maana kila jambo analolifanya hafanikiwi.
Dharau kama hizi zitamponza.View attachment 923583View attachment 923584
Ali Kiba ashaimba na R Kelly.
Wimbo gani? Mana sikuwahi usikia popote redioni miaka hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kamfanyaje huyo kifaranga, kwa nini kawa katili hivi?
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Kamfanyaje huyo kifaranga, kwa nini kawa katili hivi?
atarudishwa Mwanza kwa miguucha ajabu sijamsikia mzee oil chafu akimtaja kwenye list
Akaishia hapo!Ali Kiba ashaimba na R Kelly.
Ni mawazo yako au ni ufafanuzi wa kiba mwenyewe?Hapo maana yake anamzodoa Nasibu kwamba ni mtu a vikuku sana. Nasibu alionekana amevaa kimkufu kwenye enka maarufu kwa jina la kikuku ambazo ni tabia za kike