Kiba ana utoto mwingi sana ndio maana hafanikiwi

Kiba ana utoto mwingi sana ndio maana hafanikiwi

Kwahiyo mnampajgia kiba vya kupost na kuandika?
Wanaume wa aina hii ndo wenye dalili za ushoga. Mpaka natamani kuwatukana. Maana mnaanzisha vi uzi visivyo na miguu wala vichwa kuwataja watu
 
Hapo maana yake anamzodoa Nasibu kwamba ni mtu a vikuku sana. Nasibu alionekana amevaa kimkufu kwenye enka maarufu kwa jina la kikuku ambazo ni tabia za kike
Ni mawazo yako au ni ufafanuzi wa kiba mwenyewe?
 
Achaneni na Kibanio ashafulia ,aibu zimemjaa hlfu alioa gundu tangu cku ya ndoa hadi Leo kazima km mshumaa kwenye upepo dadeeeeq
 
Back
Top Bottom