jojoe35
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 262
- 378
Leo nmesabai acc ya sporahshow insta nkakuta kapost kua leo atakua na show na alikiba hivo watu wafunguke nn wanachotaka kumuliza kiba
Chakushangaza nmeona acc za fans wa kiba zikimtumbua majipu kiba ile mbayaaaa... Sikujua kama kiba ana majipu yaliyoiva kias icho.... Wengine wamediriki kumwambia kama asipo jirekebisha wanahamisha nguvu kwa rich mavoko na wasanii wengine maana anayesukumwa hataki kwenda ana madharau na nyodo zakujiona ata akikaa kmyaa atabaki kuonekana juu siku zote kutokana na fans alonao
Asa nachoona apo kiba itamcost maana vilio vile havitaenda bure atakumbuka shuka kumekucha
Lakin kama vile kiba alikua kashaa staaf mziki ila analazimishwa na pampu za mashabiki na kwasaab atak kukubali defeat inamgarimu kuendana na kasi iliyopo ilihali hana pesa wala uwezo so anapata pressure za mashabiki pamoja na kejeli za haters wake, ukijumlisha stress zauchumi pamoja na mahitaji ya watoto shule na shida za familia, namuona jamaa anamaisha magumu sn,
kama namuona anataman kutangaza kastaaf mzik ila anaogopa kejeli