Kiba anaenda kuzimika kama mshumaa katikati ya pepo kali

Kiba anaenda kuzimika kama mshumaa katikati ya pepo kali

Kinachompoteza huyu jamaa ni kutaka kushindana na mtu nilishamuonya kitambo afanye mziki yeye kama yeye na aangalie tu namna ya kutoka sio unajifanya na wewe daimond afu unashot nyimbo mbili sauz ndio unapotea kabisa kwenye game ila hakutaka kunisikiliza.

Hahahahahaha na ww umeComment.
 
Hahahaa kumbe unajua ukwel ila kiburi

Unajua ttz linakuja kwamba kila mtu akiongelea mziki now days mnazani ni kati ya hizo team mbili...! Mm nimechangia comment yako kwakuwa ilinivutia kuijibu kulingana na ilivyokuwa imekaa kichallenge. Bahati mbaya mm ni team tamaduni music so hapo nimechangia km shabiki wa muziki
 
Rabda hujanielewa, ww umesema alikiba hana mashabiki bali ni wale ambao wanamchukia diamond, ss sijui kabla diamond hajaingia kwny game alikiba alikuwa na mashabiki wanaomchukia mb-dog...! Point yng iko hv, ukiongelea wasanii wenye washabiki wengi bongo, ni diamond na alikiba, ss ww kusema wanaomchukia diamond ndo washabiki wa alikiba, na wanaomshabikia alikiba ni wengi, basi lugha nyepesi ni kuwa diamond anachukiwa na watu wengi ndomana alikiba ana washabiki wengi...!
Naomba uagize chochote tafadhali,umenifurahisha sana.
Wewe ni Genius
Period.
 
Rabda hujanielewa, ww umesema alikiba hana mashabiki bali ni wale ambao wanamchukia diamond, ss sijui kabla diamond hajaingia kwny game alikiba alikuwa na mashabiki wanaomchukia mb-dog...! Point yng iko hv, ukiongelea wasanii wenye washabiki wengi bongo, ni diamond na alikiba, ss ww kusema wanaomchukia diamond ndo washabiki wa alikiba, na wanaomshabikia alikiba ni wengi, basi lugha nyepesi ni kuwa diamond anachukiwa na watu wengi ndomana alikiba ana washabiki wengi...!

Rabda=labda
 
Ali Kiba ni kama mshumaa unaofikia mwisho. Wasanii wapya wanamfunika kwa mbaali siku si nyingi atabaki ktk vitabu magazeti ya zamani
 
Anawaumiza sana kichwa huyu Mwana daresalaam,
Daily Kibaa Kibaa Kibaa,

#too much Hate it means Love.

Achana na too much hate, mtu wenu alijilazimisha kunya kwa tembo kilichotokea sasa hahahaha ndio tuna discuss hapa amekuwa kama mkate uliolowekwa kwenye chai...
 
Ally kiba alishapotea zamani... upepo wa diamond ukamrudisha huohuo upepo utamrudisha alipotoka..
 
Back
Top Bottom