Kiba anaenda kuzimika kama mshumaa katikati ya pepo kali

Daah wamemuandama hao!!!!!!
Inabidi Kiba abadilike maana anaumiza sana washabiki wake

Kiba yupo safi kabisa haumizi mtu, ila mashabiki ndio wanajiumiza kwa kutaka kiba awe kama Diamond kitu ambacho ni IMPOSIBLE ni sawa na kupaka rangi ya gold jiwe na kutaka liwe GOLD OG
 
kiba anaimba jaman sasa k.ukwel cjui ana shida gan huku ameshoiya yaani kazubaa zubaa cjui bwana..
 
Kinachompoteza huyu jamaa ni kutaka kushindana na mtu nilishamuonya kitambo afanye mziki yeye kama yeye na aangalie tu namna ya kutoka sio unajifanya na wewe daimond afu unashot nyimbo mbili sauz ndio unapotea kabisa kwenye game ila hakutaka kunisikiliza.
 
Ha ha ha ha ha.... Mnanipa raha sana ninyi.

Raha!! Kipi kinachokupa raha? Sio kila shabiki wa Kiba anamchukia diamond na sio kila shabiki wa diamond hapendi mziki wa Kiba.

Ndiomana nikasema huyo jamaa alichoandika ni opinion na sio fact.
 
God is good. Mnakua na akili sasa. Mngekua hivi tangu awali... U could never regret of ur decission.
Raha!! Kipi kinachokupa raha? Sio kila shabiki wa Kiba anamchukia diamond na sio kila shabiki wa diamond hapendi mziki wa Kiba.

Ndiomana nikasema huyo jamaa alichoandika ni opinion na sio fact.
 
Raha!! Kipi kinachokupa raha? Sio kila shabiki wa Kiba anamchukia diamond na sio kila shabiki wa diamond hapendi mziki wa Kiba.

Ndiomana nikasema huyo jamaa alichoandika ni opinion na sio fact.

Iyo ndoinaitwa #kunyooka gud
 
Ingekua ivo tungeona youtube dislikes nyingi kuliko likes,na wala asingekua #msaniiboraafrica

Rabda hujanielewa, ww umesema alikiba hana mashabiki bali ni wale ambao wanamchukia diamond, ss sijui kabla diamond hajaingia kwny game alikiba alikuwa na mashabiki wanaomchukia mb-dog...! Point yng iko hv, ukiongelea wasanii wenye washabiki wengi bongo, ni diamond na alikiba, ss ww kusema wanaomchukia diamond ndo washabiki wa alikiba, na wanaomshabikia alikiba ni wengi, basi lugha nyepesi ni kuwa diamond anachukiwa na watu wengi ndomana alikiba ana washabiki wengi...!
 
Iyo sikatai coz kama huna idadi kubwa ya haters bas bado hufanyi vzuri unatania,..Ngoja nione akili yako, kat ya kiba na diamond nani ana mashabiki wengi?
 
Majigambo mengine bhana..hivi huyu alidhani anaweza kushindana na mond kweli😄

Unajua #Mwana ilimtia jeuri ilitikisa sana kusema kweli ad ikamfanya aongee vile" lkn hakujua kuwa ile peak ya mwana ni ngumu kwake kuja tena kuifikia kama alibahatisha hiv.
 
Iyo sikatai coz kama huna idadi kubwa ya haters bas bado hufanyi vzuri unatania,..Ngoja nione akili yako, kat ya kiba na diamond nani ana mashabiki wengi?

Haaa haaa! Eti ngoja nione akili yako...! Unazani namm ni mjinga kiasi hivo, yani unanipa sumu eti onja nione km utakufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…