Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Kinachompoteza huyu jamaa ni kutaka kushindana na mtu nilishamuonya kitambo afanye mziki yeye kama yeye na aangalie tu namna ya kutoka sio unajifanya na wewe daimond afu unashot nyimbo mbili sauz ndio unapotea kabisa kwenye game ila hakutaka kunisikiliza.
Hahahaa kumbe unajua ukwel ila kiburi
Naomba uagize chochote tafadhali,umenifurahisha sana.Rabda hujanielewa, ww umesema alikiba hana mashabiki bali ni wale ambao wanamchukia diamond, ss sijui kabla diamond hajaingia kwny game alikiba alikuwa na mashabiki wanaomchukia mb-dog...! Point yng iko hv, ukiongelea wasanii wenye washabiki wengi bongo, ni diamond na alikiba, ss ww kusema wanaomchukia diamond ndo washabiki wa alikiba, na wanaomshabikia alikiba ni wengi, basi lugha nyepesi ni kuwa diamond anachukiwa na watu wengi ndomana alikiba ana washabiki wengi...!
Naomba uagize chochote tafadhali,umenifurahisha sana.
Wewe ni Genius
Period.
Rabda hujanielewa, ww umesema alikiba hana mashabiki bali ni wale ambao wanamchukia diamond, ss sijui kabla diamond hajaingia kwny game alikiba alikuwa na mashabiki wanaomchukia mb-dog...! Point yng iko hv, ukiongelea wasanii wenye washabiki wengi bongo, ni diamond na alikiba, ss ww kusema wanaomchukia diamond ndo washabiki wa alikiba, na wanaomshabikia alikiba ni wengi, basi lugha nyepesi ni kuwa diamond anachukiwa na watu wengi ndomana alikiba ana washabiki wengi...!
Yan kumshabikia Kiba sawa na kuishabikia Taifa stars 😀😀 #King
Tuna subilia zile tuzo 7 tena
Hahaha..eti na wewe ni super shabiki ya kiba???
Kwa lisongi gani"😭
Anawaumiza sana kichwa huyu Mwana daresalaam,
Daily Kibaa Kibaa Kibaa,
#too much Hate it means Love.
Mashabiki wa Kiba wanafunga mwaka vbayaa dah" amna hata kazi #KingKiba
Kiba hana mashabiki,sema wanaomchukia diamond wanafunga mwaka vibaya!!
Naomba uagize chochote tafadhali,umenifurahisha sana.
Wewe ni Genius
Period.
Ila kwel kiuhalisia mashabiki wa alikiba ni wenye chuki binafsi na diamond, cyo fans wa muziki mzur
Kasema nn