Kiba anakosea wapi? Inakuwaje yeye ni mcheza mpira ila dili ya soka anapewa Diamond!!??

Tatizo nyota
 
Kuna tofauti kubwa kati ya mpira kama mchezo na biashara ya mpira, kama ilivyo muziki kama sanaa inayohusisha wasaanii wa muziki na biashara ya muziki ni vitu tofauti.

Embu jikumbushe, ilivyotokea kwenye hii movie ya Lion King iliyotayarishwa na kampuni maarufu ya marekani (DISNEY) ambayo ina maudhui ya kiswahili lakini ktk kutengeneza wimbo ama soundtrack wasanii wa Afrika mashariki ambao wangekuwa wawakilishi sahihi hawakuhusishwa badala yake Afrika magharibi ndo imetoa msanii, jambo ambalo ni kinyume na matarajio ya wengi.

Sasa chukua mfano huo husianisha na haya ya Diamond na Kiba, kuna funzo zuri.

Diamond yuko business oriented way far from Kiba, biashara si kipaji ni ujuaji tu.
 
Hata me nlijiuliza mwanzo ila nikiwa naendelea kuisoma hii thread nmekumbuka Alli kiba ni mtu anaejitahidi sana kuheshimu misingi ya dini na kamali kwa mujibu wa dini zetu hususan islamic kamali ni haramu ko hawezi tangaza kitu haramu
 
mbona ujashangaa hawajapewa wachezaji wa simba,yanga azam ama taifa stars akapewa diamond ambaye si mchezaji
Nje ya uwanja wachezaji wetu wengi si brand kama wasanii wa Muziki hata kwa sie tunaobet hatuwajui ko itakuwa ni sawa tu na kumchukua jamaa mtaani na kumpa tangazo
Hata in social media hawana wafuatiliji wa kutosha kitu ambacho ni differ from other artists
 
Wameona mondi anaushawishi mkubwa wa kufanya biashara yao iende maana vijana wengi wanamuungalia yeye.Wangekuw wanaangalia nani anajua kucheza mpira wangempa Mbwana Samata mchezaji wa kimataifa
Samata alikataa tangazo la Serengeti hata hili la betting angekataa tu haramu wanasema
 
kwamba mtaani hawamjui Nyoni, Yondani, Gadiel, Boxer, Boko,kaseja,mkude,ngasa,
 
Yeye si anagawa talaka ovyo.. shauri zake aendelee kugawa talaka wengine wanapiga pesa...
 
Nyie watu achaneni na maisha ya watu tafuteni pesa, haya mambo ya kujadili wanaume mwisho mnaishia kuwa mashoga mbanduliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…