Kiba anawacheza huku na kule

Hivi watu wasiishi maisha yao kisa dai?
Wasile, wameiga!
Wasinye, wamemuiga dai,!
Wasipande gari, dai ndo alivumbua kupanda gari!
Utoto mwingine bwana.!!
Kwa iyo mapenzi ni ya dai na zari tu hapa chini ya jua??

Aaagh mtoto ni wewe kabla ya kujibu fanya hata kurudia yaliyopita kujua kilijiri nini, unazani wengine wanga wanaleta habari humu ihusu nini aaaagggh

asingeongelea basi tusingesema ila ilimuuna kesho yake akaiongelea so ndio habari hiyo kama ulipitwa. Ndio na akaamua aonyeshe yupo kwa mbele kwa mbele na hadi leo ndio hivyoooooooo.

Angekaa kimya yasingewahusu wengine sie aaaagghhhh bebi wa siku 40 alimkimbiza

Utake usitake ndio ikivyokuwa

Siku nyingine anyamaze aaagh mnatetea wakati mwenyewe anajiachia bila breki.

Na bado mdomo usipojilinda unapanguliwa maneno yatokayo
 

Nonsense.
 

Nonsense.
 
Yani huyu mama ndio kampa gundu kiba, kamkosesha tuzo
magufuli ndiye aliyemtenganisha kibakuli na umma
kwa sasa tupo na diamond aliyekuwa ccm tokea mwanzo na si msaliti kibakuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…