mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
- Thread starter
- #21
Hivi watu wasiishi maisha yao kisa dai?
Wasile, wameiga!
Wasinye, wamemuiga dai,!
Wasipande gari, dai ndo alivumbua kupanda gari!
Utoto mwingine bwana.!!
Kwa iyo mapenzi ni ya dai na zari tu hapa chini ya jua??
Aaagh mtoto ni wewe kabla ya kujibu fanya hata kurudia yaliyopita kujua kilijiri nini, unazani wengine wanga wanaleta habari humu ihusu nini aaaagggh
asingeongelea basi tusingesema ila ilimuuna kesho yake akaiongelea so ndio habari hiyo kama ulipitwa. Ndio na akaamua aonyeshe yupo kwa mbele kwa mbele na hadi leo ndio hivyoooooooo.
Angekaa kimya yasingewahusu wengine sie aaaagghhhh bebi wa siku 40 alimkimbiza
Utake usitake ndio ikivyokuwa
Siku nyingine anyamaze aaagh mnatetea wakati mwenyewe anajiachia bila breki.
Na bado mdomo usipojilinda unapanguliwa maneno yatokayo