Kiba banaa..!!

Kiba banaa..!!

Nyoko kweli swali gan unauliza... Unaniuliza kupanda na kushuka kwa sauti unaniuliza habari za nusu toni ?...hebu niambie kiwango cha mwisho kabisa cha kupanda kwa sauti ni ngapi?
Ume'google! Niambie kazi ya gala tone kwenye Mziki.
 
Punguza Munkali, Huku Ni home of Great Thinkers, ma'GT hawabishani kwa hoja Zenye matusi,

Pia jifunze kutofautisha JF Na group Lako la shule.

By the way tufanye Hivi; Alikiba yuko juu kuliko Diamond.- satisfied?
great thinker hiv ni MUNKALI???....au MUNKARI???...aaaaah great unaniangushaa then jibu swali langu kiwango cha mwisho cha kupanda kwa sauti ni ngapi?
 
We ndo great thinker ??...ambaye unasema belle hawamjui kwenye media ?..na huamini kama nyimbo yake imepigwa trace ??...duuuuh hahahahaaaa great thinker hufany utafit kabla ya kuandika hahahahaaa haya GREAT THINKEEER unafikiri kwa kutumia makalio
Ok bro, let's agree to disagree!
 
Attachments

  • 1458922869247.jpg
    1458922869247.jpg
    42.2 KB · Views: 28
great thinker hiv ni MUNKALI???....au MUNKARI???...aaaaah great unaniangushaa then jibu swali langu kiwango cha mwisho cha kupanda kwa sauti ni ngapi?
Siwezi kumkimbiza chizi aliechukua Nguo zangu Wakati Mimi nipo ndani ya mto nikioga!
 
Siwezi kumkimbiza chizi aliechukua Nguo zangu Wakati Mimi nipo ndani ya mto nikioga!
Hujui nyau ww mbna me swali lako nimejibu hahahahahaaaa kilaza ww usije kichwa kichwa siku nyingine afu nakutajia ni 9.5 ngadu ww
 
playboy babu ungekuwa unajibu unachoulizwa ungekuwa ni mchangamshaji mzuri sana wa hili jukwaa,lakini unachoulizwa na unachojibu ni tofauti kabisa badala ya kuwa mchangamshaji umekuwa kituko cha jukwaa. Unachokijua wewe ni matusi,kejeri na kwenda nje ya maswali unayoulizwa wakati huo huo unalazimisha maswali yako yajibiwe. Kiba atakuwa juu kwa muziki na juhudi pamoja na maarifa yake na si kwa wewe kuja kutukana hapa ndio kiba awe juu haitatokea wala haijawahi kutokea kwa mtu kufanikiwa bila ya juhudi zake.UMEIPENDA HUJAIPENDA UKWELI NDIO HUU DIAMOND YUPO JUU KWA EAST AFRICA KWA SASA HUTAKI WE ENDELEA KUTUKANA UONE KAMA NAFASI YA DIAMOND ATAKAA KIBA KISA WEWE UNATUKANA HUKU.
 
Kamuulize bob junior kwamba wakati diamond kaenda kuomba kuimba pale sharobaro records.. Alimshirikisha nani kujadili kama diamond arekod au asirekod ?...jibu alimpigia simu kiba kumwambia kuna Dogo hapa vp tumrekodie?..kiba akamwambia kama yuko fresh arekod ila zoez nnalokupa ww uliyepost ni kutafuta ujue wakati kiba anapigiwa simu alikuwa wapi na anafanya nn ?..ndo utajua sasa kwamba kiba ni nani.

Sababu za kitoto hizi,unakua kama simba inayojigamba kufika nusu fainali ya klabu bingwa Africa wakati haina uwanja wa mazoezi
Linganisha kwa sasa kiba na diamond nani ana mafanikio
 
Kifupi tu bas nkwambie darasa ambalo sikusoma ni Chekechea tu nyau we na nipo mkwawa mwaka wa pili maandazi mabichi we.
Ndo maana unatoa pumba kumbe unasoma mkwawa ckujua ndo maana nilikuwa nashangaa sana article zako mzazi
 
Chizi ww una uhakika dimond hashindani na kiba ?..acha unyau paka jike ww siku île istagram anasema "sijui nininini mwisho anamaliza wakipost tembo sisi tunapost show"..alikuwa anamwambia mamako mdogo aw?..kiba mnasema hamuwez diamond sasa si mumlinganishe diamond wenu na jux bas mbna kila siku mpo hapohapo.. Diamond aliwah kupost juu ya kiba kukopa pesa kwa ajili ya kumalizia nyumba yake... Anashindana hadi nje ya muziki sijui hujui unakuja unajambajamba hapa we puru kweli mshkaj wng.
Ww jamaa kweli ni bwabwa wa kiba maana unazoengea kama umekunywa maji ya chuoni......diamond Hana mashauzi kama hayo sema acc yake ya twitter ilihakiwa ndo hao jamaa wakaposti icho kitu lkn kwa kuwa nyie mashabiki wa kiba ni vichwa maji ka mnaemshabikia hamkutaka kuelewa...!!!
 
playboy babu ungekuwa unajibu unachoulizwa ungekuwa ni mchangamshaji mzuri sana wa hili jukwaa,lakini unachoulizwa na unachojibu ni tofauti kabisa badala ya kuwa mchangamshaji umekuwa kituko cha jukwaa. Unachokijua wewe ni matusi,kejeri na kwenda nje ya maswali unayoulizwa wakati huo huo unalazimisha maswali yako yajibiwe. Kiba atakuwa juu kwa muziki na juhudi pamoja na maarifa yake na si kwa wewe kuja kutukana hapa ndio kiba awe juu haitatokea wala haijawahi kutokea kwa mtu kufanikiwa bila ya juhudi zake.UMEIPENDA HUJAIPENDA UKWELI NDIO HUU DIAMOND YUPO JUU KWA EAST AFRICA KWA SASA HUTAKI WE ENDELEA KUTUKANA UONE KAMA NAFASI YA DIAMOND ATAKAA KIBA KISA WEWE UNATUKANA HUKU.
Umeona kaka ata mm nilimwambia icho kitu kuwa mara nyng huyu jamaa anaenda op anajikuta kujua but Hana kitu kichwani ni ule ubishi wa kijijin wa kilimo kwanza.....anachjua ni matusi msomi wa mkwawa hahahaaa div 5 izi
 
To me ts ok,ukiona unatumia mbinu fulani na haifanikiwi unabadili.Sio kosa.
Kama kaona ndo ulipo udhaifu ni vyema abadilike.Kitu kingine ni afanye kazi bila kujilinganisha na mtu yeyote itamsaidia.

All the best Alikiba.
Uko sahihi kabisa japo mimi sio shabiki wa kiba...ukishindwa njia moja unajaribu nyingine
 
Back
Top Bottom