Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli jamaa ana kauzembe flani lakini ukiusikiliza utamsamehe, hajaimba wimbo kama huo kabla,Sasa Alikiba Umeshindwa hata kuweka link ya hiyo taka taka yako mpya!?!?
Huku Jf hakuna mambo ya kuzimiwa maiki... Weka taarifa vizuri alaaah!
Hii ni nyimbo mpya ya Ali Kiba inaitwa "Risabela" inayotofautisha kabisa bongo flavor na Nigerian music.. Hongera Kiba, naona sasa zile radha halisi za bongo zinaanza kurudi na nafikiri wengine wataiga mfano huu.
Hupitwi= ladha
Aje ya king kibA n nomAHiyo ya zamani Sana mbona labda hiyo averina ndo inakaribia kutoka
Hakuna ki France cha hivyo weweAje ya king kibA n nomA
ama ni french girl
niiongee
viens mon amour
je suis quelque du bien
je vais veille sur moi
et toi tu vas veille sur moi
c'est toi mal joie
je ne peux etre content sans toi
je vais veille sur toi
je suis quelque du bien
je vais veille sur moi
et toi tu vas veille sur moi
c'est toi mal joie
je ne peux etre content sans toi
Haaaah rekebisha ww sasa tuone embu acha ubishi halafu hamna lugha inaitwa ki france n french ndo maana ujaelewAHakuna ki France cha hivyo nyumbu wewe
Ali Kiba risabela
Tupumzike siasa kidogo