Kiba kuja na tour ya dunia nzima

kabisaa make kakurupuka
Kwa kiingereza gani hicho cha Form one hicho ndo unitishe Mimi Halafu jirekebishe
watakuoa wazungu si kila anayeishi na mzungu anajua kizungu.Lugha imekuja na ndege so,usijependekeze Nayo.

Do not make of fun person who speaks broken English.
It means they know another language.
 
Naona Huyo jamaa hajielewi eti kiba Congo hawamjui ogopa baba
 
Kitu alichokosea kiba ni kujifananisha na Simba..Leo hata afanye nini atachukiwa Nchi nzima. Kuna watu hawaendi show zake. Strategy ya kujifanisha na simba imemcost kibakuli..
nan kasema anajifananisha, kiba anamziki wake na huyo unaemtaja anamziki wake sema ww ndo unaelazimisha kuwafananisha
 
kama hujipendekezi nayo hyo signature yako imeiandika kwa kimakonde au
 
A
We ndo hujaelewa kitu.
Mtoa MADA kasema Tour ya duniani, Alik kwa tangazo lake kaandika South Africa Tour.Then nikasema bora ya huyu @FromTandaleToTheWorldWideTour.
likiba kasema ni Dunia nzima ila ataanza na S/A sijui ww umesoma wapi hayo unayoandika mkuu hebu rudia kusoma tena
 
Kama baba ako alivyozingua show ya Neyo kule Uingereza.

Show ya kimataifa ya Neyo imesogezwa mbele na waandaaji. Hizo ni show za level ya kimataifa sio za kwenye mabaa ya south africa. Mtu aliyeshindwa kujaza watu Dodoma na Mombasa ategemee za uso tu huko South Africa.
 
South kwenyewe ukute anaenda kuimba kwenye mabaa then atakuja kujisifu kabisa show imejaza kuliko hata jay z......kama kweli anajiamini amuige mpinzani wake kuweka video YouTube
Kweli shoo za kwenye mabaa
 
Kweli kabisa Wajomba wanamkubali sana Ali kiba
 

Aisee! Inaelekea una undugu na kiba!
 
Show ya kimataifa ya Neyo imesogezwa mbele na waandaaji. Hizo ni show za level ya kimataifa sio za kwenye mabaa ya south africa. Mtu aliyeshindwa kujaza watu Dodoma na Mombasa ategemee za uso tu huko South Africa.
Huna uhakika gani show za kiba south Africa zitakuwa kwenye mabar?!

unazijua bar za south Africa zilivyo?!

Ulishuhudia show yake ya funga mwaka Uganda ilivyoshona lini baba ako Dimond alijaza watu Uganda pamoja na kujiweka kwa Zari ili apenye Uganda na bado amedunda.
 
Hakuna kitu hapo
Kiba hajawahi kuanzisha kitu akamaliza,angeenda kumalizia show ya Dodoma kwanza.
Katangaza February atakuwa South Africa,halafu wapi??
Wenzake huwa wanatoa confirmed ratiba nzima,yeye kafanya kama kutest zali kaweka na contacts za meneja ili watu wamtafute.
Wakati Kiba anakwenda South mwezi wa pili,Diamond atakuwa kishakwenda Nigeria na Gabon!
 
Nina uhakika sababu ata Dodoma alifanya kwenye bar na haikujaa akanusurika kichapo.

Ile Uganda haikuwa show ya Kiba ile ni festival iliyojumuisha vitu vingi mpaka mpira wa miguu ni kama matamasha ya shigongo.

Hivi kama amekosa watu Mombasa tena kwenye show yenye jina lake funga mwaka na kiba ambapo yeye anadai anapendwa kuliko yoyote, unategemea ajaze kumbi kumbi yoyote ya maana South Africa? subirini aibu nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…