M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Mynamar utafika KING KIBLA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka afute siyo?Ziko wapi mie nipo huku sijaona bango.
Kiba anacheza na akili za Watu,ziara iliokuwa confirmed ni hiyo ya Afrika kusini,hizo zingine ndio anazicchuuza kama machinga anavyopiga kelele kuuza suruali,ndio maana ameweka contacts ili mtu akitamani awasiliane na hao mameneja.
Tour unatengeneza ukishapata mialiko ambayo ni confirmed na deposit au malipo yote umepata.
Kiba bado sana,na hizo tour atafuta tu,atasingizia kahujumiwa,mara kanyimwa viza tupo hapa
Wewe nadhani hata kijijini kwako wanaokufahamu ni wazazi wako tu.siyo kosa lako.Kongo tu hawamjui!
Wala sio sana....nipo karibu sana....nchi jirani....zichange tu atafika
chuki haisaidii especially unapomchukia anaekuzidi kila kitu isipokua umri tuu na roho mbaya
nimiuliza tu kutaka kujuakwan yy hawez walipia au
Europe + USADunia mzima au South Afrika mzima?