Kiba kuja na tour ya dunia nzima

Unataka afute siyo?
 
Dah hii roho mbaya itawaua watu.Mtuakifanikiwa kuna watu roho inakereka balaaaa.Mungu saidia#ONLY IN TANZANIA#
 
Wadau kama hz world tour viza inakuaje? Anaom a kote in advance? Maana nami natarajia kufanya tour moja matata sana
 
Akija Sweden kiukweli nitaenda....no matter what....
 
Sisi wa huku bangkok tutamuona lini mana hii dunia nzima inatuhusu na sie au dunia sauzi na usa tu
 
nilishawahi kumuona kiba OR Tambo Airport kazungukwa na ma-body guard kama 6 hivi, nikawa najiuliza anayewalipia tiketi hao mabaunsa ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…