Waandaaji ndo wameandikaHuyu alisema yeye kwake tuzo sio muhimu ila sasa naona hadi kwenye bango kaanza kuandika kuhusu tuzo. Angalia hata hilo bango kaandika "Multi award winner" na kazitaja na hizo tuzo. Sasa sijui ilikuwa sizitaki mbivu hizi.
Moja ya tricks zinazotumika na labels kuhakikisha pesa zinatumika kweli kweli kwa ajili yako!!! Ukiwa mjinga, wakati unapewa huduma kama hizi mwenyewe utaona raha tu na kudhani wanakujali lakini ni gharama zinazokuja ku-affect pay yako!nilishawahi kumuona kiba OR Tambo Airport kazungukwa na ma-body guard kama 6 hivi, nikawa najiuliza anayewalipia tiketi hao mabaunsa ni nani?
Wasanii wetu wengi ni -MBUMBUMBU-Moja ya tricks zinazotumika na labels kuhakikisha pesa zinatumika kweli kweli kwa ajili yako!!! Ukiwa mjinga, wakati unapewa huduma kama hizi mwenyewe utaona raha tu na kudhani wanakujali lakini ni gharama zinazokuja ku-affect pay yako!