Kiba & Mondi wapo pamoja studio


Hii picha sio ya kweli watu wamefanya yao a.k.a photoshop.
 
Picha inajieleza zaidi la kuongea sina nasubilia tu iyo ngoma ikitoka ila safiii sana vijana kama mmeamua ivyo muue mambo ya uteam
Acheni Kupotosha Umma, Hakuna Collabo yotote na wala Msanii wangu hana mpango wa Kufanya Collabo na Diamond, Wanatafuta Kiki kwaku Edit na Kufanya Photoshop kama hizo. Naomba Mpuuze hiyo Picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…