Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hili nalo nenoIsijekuwa zile nyimbo za hisani na matangazo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,yaah umesemaa ukweli mtupu ila ngoja waje team kibakuli uone povu watakalotoaSafi ni muda wa Mondi kumtoa Ali Kiba naye ajulikane kimataifa sasa
Katika wale wasanii zake mbona hakuna hata mmoja aliyemtoa kimataifa?Safi ni muda wa Mondi kumtoa Ali Kiba naye ajulikane kimataifa sasa
Utaanzaje 3 hata moja hukuanza!!!Katika wale wasanii zake mbona hakuna hata mmoja aliyemtoa kimataifa?
Acheni Kupotosha Umma, Hakuna Collabo yotote na wala Msanii wangu hana mpango wa Kufanya Collabo na Diamond, Wanatafuta Kiki kwaku Edit na Kufanya Photoshop kama hizo. Naomba Mpuuze hiyo Picha.Picha inajieleza zaidi la kuongea sina nasubilia tu iyo ngoma ikitoka ila safiii sana vijana kama mmeamua ivyo muue mambo ya uteam
Nilijua watu Kama nyie hamkosekani na roho zenu mbayaSafi ni muda wa Mondi kumtoa Ali Kiba naye ajulikane kimataifa sasa
Jibu zuri mkuu mwambie huyo mtu akitoka kwa juhud zake et domo kuna watu wanamuhusudu domo kuliko Mungu wao wa mbinguniKatika wale wasanii zake mbona hakuna hata mmoja aliyemtoa kimataifa?