[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilijua watu Kama nyie hamkosekani na roho zenu mbaya
Kashawafikisha katika hiyo Level ya Ali kiba?Utaanzaje 3 hata moja hukuanza!!!
Alikuwa ana waleta kwanza kwenye level za Ali Kiba halafu ata wapandisha.
We subiri utayaona hayo, hata yeye hakuwa msanii wa kimataifa ghafla ghafla tuu
Eeh, sasa ndo kama hivo, anataka amtoe Kiba naye apae ki mataifa halafu madogo tena wakaze.Kashawafikisha katika hiyo Level ya Ali kiba?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkuu Iceman 3D ,unawaona team kibakuli washaanza kutoa mapovu
Alikina ndio nan!!?Hata hawapo pamoja kwa vile vijembe vya mondi anavyojiona sidhani anamuona alikiba kama yuko down sana wakati alikina ma bob junior ndo wamemtoa
Hayo ndio ambayo hatuyataki sasa.Safi ni muda wa Mondi kumtoa Ali Kiba naye ajulikane kimataifa sasa
Pumba tupu,kwanza akamsaidia yule dogo aache kuimba kama yeye.Eeh, sasa ndo kama hivo, anataka amtoe Kiba naye apae ki mataifa halafu madogo tena wakaze.
Ni jambo zuri tu.
Sioni kama ni pumba, semeni tuu mna kereka nimesema mondi amtoe Kiba.Pumba tupu,kwanza akamsaidia yule dogo aache kuimba kama yeye.
Kumbe alikua underground ?? ...underground ambae amepewa heshima ya kua mmoja wa perfomers watakaoperform tuzo za MTV MAMA kule johanesburgSafi ni muda wa Mondi kumtoa Ali Kiba naye ajulikane kimataifa sasa
Mkuu Domo alisha perfom toka 2014 na ana tuzo ya MTV MAMA tayari, sasa utasema domo ni nani!! kama huyu ku perfom tuu, tena mwaka huu imekuwa kelele!!!Kumbe alikua underground ?? ...underground ambae amepewa heshima ya kua mmoja wa perfomers watakaoperform tuzo za MTV MAMA kule johanesburg
Nasikia yule jamaa aliyemuimba alimroga.Sioni kama ni pumba, semeni tuu mna kereka nimesema mondi amtoe Kiba.
Kumbuka hata huku ndani Kiba alipotea kpindi flani hivi lakini alirudi kwa kutumia jina la Mondi(hilo linajulikana).
Kwa hiyo huyo huyo Mondi anaweza kumpaisha na nje pia
*Kiba bado ni msanii mzuri na mkongwe sanaa
Sio kelele bali kusema diamond anataka kumtoa kiba mda huu ukimanisha kwamba kiba bado ni underground?? hahah mpunguze munkari waachen wafanye hio colabo kila mtu ana heshima yake na kwa nafasi yake kimuziki.Mkuu Domo alisha perfom toka 2014 na ana tuzo ya MTV MAMA tayari, sasa utasema domo ni nani!! kama huyu ku perfom tuu, tena mwaka huu imekuwa kelele!!!
Nimesema amtoe kimataifa, kwa kuwa kolabo yao ikifanyika itamtangaza zaidi Kiba kuliko Domo, Domo asha imba na AKA,na P-Square sasa kuimba na Kiba kuta mpeleka wapi!!?Sio kelele bali kusema diamond anataka kumtoa kiba mda huu ukimanisha kwamba kiba bado ni underground?? hahah mpunguze munkari waachen wafanye hio colabo kila mtu ana heshima yake na kwa nafasi yake kimuziki.
[emoji1]Nasikia yule jamaa aliyemuimba alimroga.