Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfyuuuu
Safi sana umemjibu vizuriKwani uliitwa umu si ungeenda siasani ukajadili tanzania ya viwanda mnakera sana
Mwambie huyo aache kutoa mapovu hapa ni mwendo wa facts tuHasa matusi ya nini!!? We kama mjanja si uweke facts hapo, Kiba alicho mzidi domo ni nini!!?
wenzako wanao kuja vizuri tunaelezana.
*Kiba bado hajamfikia domo kimataifa.
Nifah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watarudi msanga kucheza mdundiko!!!
Usisahau neno Kimataifa hapo, nnacho maanisha Kiba akiimba na domo ataongeza kujulikana.Sio mondi kumtoa kiba eb weken uteam pembeni kila mtu anajua apo labda watoane
Haya hongera.Kwani uliitwa umu si ungeenda siasani ukajadili tanzania ya viwanda mnakera sana
Na kimataifa kiba anajulikana pia vile vile angekua hajulikana asingeitwa mwaka jana nigeria kuperfom kwenye tuzo aliyoshinda luluUsisahau neno Kimataifa hapo, nnacho maanisha Kiba akiimba na domo ataongeza kujulikana.
Ila domo hana cha kuongeza kwa sababu kwa soko la kimataifa he z way up there. Sasa Kiba amtoe domo ampeleke wapi tena wakati domo ashaimba na kina davido.
Kibongo bongo Ali alishatoka tena kabla ya domo, ila ki international, Ali hamfikii domo hiyo ni wazi.
*Kiba bado ni msanii mzuri, ila hajamfikia domo kujulikana na kupata mafanikio nje ya nchi yetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwambie huyo aache kutoa mapovu hapa ni mwendo wa facts tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Kwendraaaaa
Usisahau hata shetta mzee wa shikolobo aliwahi kuitwa huko Nigeria, sasa diamond alikuwa ana Tour yake ulaya mwaka huu, hizo tuzo za Nigeria ndio kapata nyingi tuu.Na kimataifa kiba anajulikana pia vile vile angekua hajulikana asingeitwa mwaka jana nigeria kuperfom kwenye tuzo aliyoshinda lulu