Kiba & Mondi wapo pamoja studio

Acheni Kupotosha Umma, Hakuna Collabo yotote na wala Msanii wangu hana mpango wa Kufanya Collabo na Diamond, Wanatafuta Kiki kwaku Edit na Kufanya Photoshop kama hizo. Naomba Mpuuze hiyo Picha.
Sawa salaam
 
Sio kelele bali kusema diamond anataka kumtoa kiba mda huu ukimanisha kwamba kiba bado ni underground?? hahah mpunguze munkari waachen wafanye hio colabo kila mtu ana heshima yake na kwa nafasi yake kimuziki.
Kweli kabisa mkuu
 
Sio mondi kumtoa kiba eb weken uteam pembeni kila mtu anajua apo labda watoane
Usisahau neno Kimataifa hapo, nnacho maanisha Kiba akiimba na domo ataongeza kujulikana.
Ila domo hana cha kuongeza kwa sababu kwa soko la kimataifa he z way up there. Sasa Kiba amtoe domo ampeleke wapi tena wakati domo ashaimba na kina davido.

Kibongo bongo Ali alishatoka tena kabla ya domo, ila ki international, Ali hamfikii domo hiyo ni wazi.

*Kiba bado ni msanii mzuri, ila hajamfikia domo kujulikana na kupata mafanikio nje ya nchi yetu
 
Na kimataifa kiba anajulikana pia vile vile angekua hajulikana asingeitwa mwaka jana nigeria kuperfom kwenye tuzo aliyoshinda lulu
 
my shunie hii haiwezekani kabisaa hili beef lao ndilo linalowaweka mjini wakifanya kazi ya pamoja ndo soko lao la mziki wasahau kabisaa kwani litaenda kufa kabisaa
 
Na kimataifa kiba anajulikana pia vile vile angekua hajulikana asingeitwa mwaka jana nigeria kuperfom kwenye tuzo aliyoshinda lulu
Usisahau hata shetta mzee wa shikolobo aliwahi kuitwa huko Nigeria, sasa diamond alikuwa ana Tour yake ulaya mwaka huu, hizo tuzo za Nigeria ndio kapata nyingi tuu.
Yaan Kiba kuitwa ku perfom mwaka 2016, ndio mumfikishie level za mondi!!
Tuwe wa kweli jamani , huyu mondi msitake mpaka afe ndo mumuheshimu! hana mpinzani kwa sasa.
*Kiba ni msanii mzuri pia lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…