Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mange povu lilimtoka baada ya Diamond kukamata 1 naona kaendeleza promo ndio maana manyumbu yake yamerudi kupeana shift u tube. But time will tell...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza na Million 3 viewers in 6 days!
[emoji106]Mange hata angepush vipi watu Kama hawataki kwenda kutizama hawaendi so watu wameenda kwa maamuzi yao
[emoji106]Kamanda bingi na hiyo ndiyo raha ya ushindani...Diamond naye atafute an online diva like Mange ili kumpromote!
Ila mwisho wa siku mziki wa Bongo unafika mbali...regardless ni kiba au mondi!