kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
et nae anamuiga trey songz anavyofanyaga [emoji2] [emoji2]sijajua huo ni ukunga au ni jingle yako kwny kila wimbo....usipopayuka "yaaaaah" nyimbo inakuwa nzuri...ona nyimbo yako ya AJE hujapayuka kidogo ina afadhali lkn mpayuko wako kwny mapela na chekechua uliharibuu na Sautisol wamesema huo mpayuko uliharibu kwny wimbo wao
Pengine ni maelekezo ya mtaalam huwezi kujua.Sijajua huo ni ukunga au ni jingle yako kwny kila wimbo.... Usipopayuka "yaaaaah" nyimbo inakuwa nzuri... Ona nyimbo yako ya AJE hujapayuka kidogo ina afadhali lkn mpayuko wako kwny Mapela na Chekechua uliharibuu na Sautisol wamesema huo mpayuko uliharibu kwny wimbo wao.
Sijui yaaahhh sijui yoooohhh inaboa, ila kama kuna watu wanaipenda no hard feelings.
Yaani kwa ulivoandika inaonyesha Una chuki binafsi na kiba tena chuki za kitoto[emoji57] [emoji57] [emoji57]Sijajua huo ni ukunga au ni jingle yako kwny kila wimbo.... Usipopayuka "yaaaaah" nyimbo inakuwa nzuri... Ona nyimbo yako ya AJE hujapayuka kidogo ina afadhali lkn mpayuko wako kwny Mapela na Chekechua uliharibuu na Sautisol wamesema huo mpayuko uliharibu kwny wimbo wao.
wewe haupo sawa unaonekana unapenda matatizoKile kisauti nakipendaje. Yaaaaaaaaaaaaaa