Kiba unapofanya "Yaaaaaa" unaharibu nyimbo na unaboa

Kiba unapofanya "Yaaaaaa" unaharibu nyimbo na unaboa

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,318
Reaction score
4,105
Sijajua huo ni ukunga au ni jingle yako kwny kila wimbo.... Usipopayuka "yaaaaah" nyimbo inakuwa nzuri... Ona nyimbo yako ya AJE hujapayuka kidogo ina afadhali lkn mpayuko wako kwny Mapela na Chekechua uliharibuu na Sautisol wamesema huo mpayuko uliharibu kwny wimbo wao.
 
Mwacheni apumue. Nadhani ni vema tukafikiria kitu au watu ambao watasaidia kuboresha kazi zake. Wadau wa muziki, baada ya kumzomea mfululizo huyo kijana tutoe ushauri wa nini kifanyike ili naye afanikiwe.

Nimejawa na huruma, tutoe ushasuri constructive hapa.
 
sijajua huo ni ukunga au ni jingle yako kwny kila wimbo....usipopayuka "yaaaaah" nyimbo inakuwa nzuri...ona nyimbo yako ya AJE hujapayuka kidogo ina afadhali lkn mpayuko wako kwny mapela na chekechua uliharibuu na Sautisol wamesema huo mpayuko uliharibu kwny wimbo wao
et nae anamuiga trey songz anavyofanyaga [emoji2] [emoji2]
 
Sijajua huo ni ukunga au ni jingle yako kwny kila wimbo.... Usipopayuka "yaaaaah" nyimbo inakuwa nzuri... Ona nyimbo yako ya AJE hujapayuka kidogo ina afadhali lkn mpayuko wako kwny Mapela na Chekechua uliharibuu na Sautisol wamesema huo mpayuko uliharibu kwny wimbo wao.
Pengine ni maelekezo ya mtaalam huwezi kujua.
 
Sijajua huo ni ukunga au ni jingle yako kwny kila wimbo.... Usipopayuka "yaaaaah" nyimbo inakuwa nzuri... Ona nyimbo yako ya AJE hujapayuka kidogo ina afadhali lkn mpayuko wako kwny Mapela na Chekechua uliharibuu na Sautisol wamesema huo mpayuko uliharibu kwny wimbo wao.
Yaani kwa ulivoandika inaonyesha Una chuki binafsi na kiba tena chuki za kitoto[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
KWELI HUYU JAMAA ANAKERA SANA NA HICHO KIBWAGIZO CHAKE.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipo
 
halafu kweny wimbo wa nuh mziwanda,jike shupa ndo kairudia kma mara saba hivi kila wakati...bora abaki na iyo signature yke ya "pop it in" tu tn iwe anaingiza mwanzoni mwa ngoma au mwishoni!
 
Back
Top Bottom